Waamuzi wa michezo ya Robo Fainali CAF wiki hii

Waamuzi wa michezo ya Robo Fainali CAF wiki hii

Waamuzi wa michezo ya Robo Fainali CAF wiki hii-

Petro Luanda v TP Mazembe

Issa Sy kutoka Senegal atashughulikia mchezo wa Petro Luanda v TP Mazembe siku ya Jumamosi.

Samir Guezzaz wa Morocco amethibitishwa kuwa mkuu wa VAR huku Zakaria Brinsi akiwa msaidizi wake.

Waamuzi wa michezo ya Robo Fainali CAF wiki hii

Al Ahly v Simba

Kwa upande wa Al Ahly v Simba Aprili 5, itachezeshwa na Alhadji Allaou Mahamat kutoka Chad.

Pierre Ghislain Atcho wa Gabon atakuwa kwenye VAR na atasaidiwa na Akhona Zennith Makalima wa Afrika Kusini.

ASEC Mimosas v ES Tunis

CAF has appointed Jean Jacques Ndala to officiate the return leg game between ASEC Mimosas and ES Tunis on April 6.

See also: