Malu Stonch amefariki dunia ‘Mwimbaji wa kundi la FM Academia’

Malu Stonch amefariki dunia ‘Mwimbaji wa kundi la FM Academia’

Malu Stonch amefariki dunia ‘Mwimbaji wa kundi la FM Academia’: Mwimbaji wa Muziki wa dansi wa kundi la FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, taarifa zinasema kuwa Malu alifariki baada ya kuanguka ghafla jukwaani akiwa anatekeleza majukumu yake ya kuimba na bendi yake ya FM Academia katika ukumbi wa Target, Mbezi Beach.

Mwanamuziki huyo wakati anaimba alidondoka ghafla na kuangukia uso na kupoteza fahamu huku damu zikimtoka masikioni na kung’ata ulimi ndipo wakampa huduma ya kwanza kabla ya kumpeleka Hospitali ya Masana, Mbezi beach na baada ya kufika Hospitalini hapo madaktari walisema kuwa tayari alikuwa ameshafariki dunia.

Malu Stonch amefariki dunia 'Mwimbaji wa kundi la FM Academia'

Malu Stonch amefariki dunia ‘Mwimbaji wa kundi la FM Academia’, Kwenye video hii ni Msanii huyo “Malu” akiimba kabla ya kuanguka na kufariki dunia usiku wa jana.

See also: