Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam na Morogoro

Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam na Morogoro, RATIBA ya Treni za SGR Dar to Moro 2024, Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam mpaka Morogoro,Ratiba ya treni ya SGR kwa safari za Dar Es Salaam – Morogoro, Bei ya tiketi za treni, Ratiba ya treni dar to Moro,Tiketi za treni Dar Es Salaam,Ratiba ya Treni Moro to Darz www.trc.co.tz online booking online,Ratiba ya treni wiki hii.

Shirika la Reli Tanzania lazindua kampeni ya uelewa kuhusu kuanza kwa huduma za safari za treni katika Reli ya kiwango cha Kimataifa SGR kwenye hafla fupi iliofanyika stesheni ya SGR Jijini Dar es Salaam Juni 12-2024.

Kampeni hii inalengo la kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya huduma mpya za SGR pamoja na mambo muhimu yakuzingatia katika masuala ya ulinzi na usalama wa abiria na mali zao ambapo kaulimbiu ya kampeni ni “Twende Tukapande Treni Yetu, Tuitunze, Tuithamini”

Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam na Morogoro

Ratiba imegawanywa katika sehemu mbili kwa siku, yaani asubuhi mpaka Usiku.

Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam na Morogoro
Ratiba ya treni za SGR Dar es Salaam na Morogoro

HII NI RATIBA KAMILI YA TRENI ZA SGR JUNE 2024.

Treni Kutoka Dar Es Salaam Kwenda Morogoro.

  • Inaondoka DSM saa 12:00 asubuhi na inawasili MOR saa 01:49 asubuhi.
  • Inaondoka DSM saa 10:00 Jioni na inawasili MOR saa 11:49 Jioni.

Treni kutoka Morogoro kwenda Dar Es Salaam:

  • Inaondoka MOR saa 02:50 asubuhi na inawasili DSM saa 04:39 asubuhi.
  • Inaondoka MOR saa 01:30 usiku na inawasili DSM saa 03:19 usiku.

Kadhalika upande wa treni za mchongoko (EMU) zitakuwa na madaraja yafuatayo,

  • Daraja la Juu (High Class)
  • Daraja la Uchumi (Economy Class)
  • Daraja la Biashara (Business Class) na
  • Daraja la Kifalme la Biashara (Royal Business Class).

SEE ALSO: