Bei ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya taa
Bei Mpya ya Mafuta Petroli, Dizeli na Mafuta ya taa | Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 7 Februari 2024 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Februari 2024, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara.
Bei Mpya ya Mafuta Petroli, Dizeli na Mafuta ya taa
Kupungua kwa bei za mafuta kwa mwezi Februari 2024 kunatokana na kushuka kwa bei za mafuta (FOB) katika soko la dunia kwa wastani (weighted average) wa asilimia 10.66 kwa petroli, asilimia 11.20 kwa dizeli na asilimia 5.82 kwa mafuta ya taa.
Pia kupungua kwa bei za mafuta kumetokana na kushuka kwa gharama za uagizaji wa mafuta kwa Bandari ya Dar es Salaam kwa wastani (weighted average) wa asilimia 9.69 kwa dizeli na asilimia 1.82 kwa mafuta ya taa.
Vivo hivyo, gharama za uagizaji wa mafuta ya petroli na dizeli kwa Bandari za Tanga na Mtwara zimepungua kwa wastani (weighted average) wa asilimia 0.69 na 11.93, mtawalia.
See also:
- Bei ya Madini ya Tanzanite Tanzania 2024
- Bei ya Madini ya Almasi Tanzania
- Bei ya Madini ya Silver Tanzania 2024
- Bei ya Madini ya Shaba | Copper Price in Tanzania
- Bei ya Madini ya Rubi Tanzania Leo
- Bei ya dhahabu leo | Tanzania Gold Price
- Bei Za Magodoro ya GSM 2024
- Bei za Magodoro ya Comfy 2024
- Bei ya Magodoro ya Tanfoam 2024
- Bei ya Magodoro Dodoma 2024
- Bei ya Bajaji TVS Tanzania 2024
- Bei ya Subaru IMPREZA in Tanzania
- Bei ya Subaru Forester Tanzania
Leave a Reply