KIKOSI cha Singida Black Stars 2024/2025 Squad

KIKOSI cha Singida Black Stars 2024/2025 Squad, Klabu ya Singida Black Stars iliyokuwa ikifahamika kama Ihefu na kumaliza katika nafasi ya saba kwenye Ligi Kuu Bara iliyomalizika hivi karibuni, inaelezwa imekifanya kile kilichofanywa na Pamba Jiji kwa kuifumua timu nzima.

Pamba iliyopanda Ligi Kuu msimu ujao kutoka Ligi ya Championship ikiwa sambamba na KenGold, hivi karibuni ilitangaza kuunda benchi jipya la ufundi na kuanza kusajili wachezaji wapya huku ikiwashukuru wale wote waliopambana kuipandisha timu, japo mabosi wa klabu hiyo walitoa ufafanuzi juu ya suala hilo.

KIKOSI cha Singida Black Stars 2024/2025 Squad

Hiki hapa Kikosi cha Black Stars ambao watawakilisha klabu ya Singida Black Stars kwenye michuano ya Ligi Kuu na mashindano mengine ya msimu wa 2024/2025.

KIKOSI cha Singida Black Stars 2024/2025 Squad
KIKOSI cha Singida Black Stars 2024/2025 Squad

23 – Metacha
10 – Tchakei (C)
6 – Keyekeh
13 – Tra Bi
15 – Guede
19 – Imoro
21 – Cirille
28 – Tanimu
32 – Camara
38 – Rupia
60 – Arthur
1 – Haule
4 – Khalid
5 – Mbegu
7 – Lyanga
12 – Majimengi
17 – Kyombo
18 – Manyama
26 – Kennedy
40 – Sanga
47 – Kawambwa

PENDEKEZO: