Alikiba atambulisha EP mpya STARTER, Itatoka September 20

BURUDANI, Alikiba atambulisha EP mpya STARTER, Itatoka September 20 — Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, amedokeza ujio wa EP yake mpya aliyoipa jina la “STARTER,” ambayo anatarajia kuachia tarehe 20 Septemba mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Alikiba aliandika:

“My first ever Extended Playlist, STARTER The EP, I embrace Bongo Flava. Friday 20th, September.”

Hii ni EP yake ya kwanza, na mashabiki wanasubiri kwa hamu kuona ladha mpya ya muziki atakayotoa huku akizungumzia zaidi Bongo Flava.

Alikiba atambulisha EP mpya STARTER, Itatoka September 20

Alikiba atambulisha EP mpya STARTER, Itatoka September 20

ANGALIA PIA: