ORODHA Vinara wa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024/2025 NBC

ORODHA Vinara wa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024/2025 NBC | Wachezaji wanao ongoza kwa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania | Vinara wa Pasi za Mwisho Ligi kuu Tanzania Bara 2024/2025.

Msimu huu wa 2024/2025 unatarajiwa kushuhudia nyota wengi wapya tofauti na wale wa zamani kama Aziz Ki wakijitokeza kama vinara wa kutoa assist kwenye NBC Premier League.

Vinara wa assist ni wachezaji ambao, licha ya kutofunga mabao mengi, wamekuwa na jicho la kuona nafasi na uwezo wa kupiga pasi zenye uzito, ambazo zimekuwa na matokeo mazuri kwa timu zao. Wachezaji hawa wanajulikana kwa uwezo wao wa kupenya ngome za wapinzani na kutoa pasi za mwisho ambazo haziwezi kupingwa.

ORODHA Vinara wa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024/2025 NBC

Hapa tutakuletea taarifa ya kila mara baada ya michezo kumalizika kuhusu vita ya vinara wa assist NBC Premier League 2024/2025 kadiri itakavyobidi.

ORODHA Vinara wa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024/2025 NBC
ORODHA Vinara wa Assist Ligi Kuu Tanzania 2024/2025 NBC

NBC PREMIER LEAGUE ASISSTS