Orbit Securities mdhamini mkuu wa mechi ya Yanga vs CBE

Orbit Securities mdhamini mkuu wa mechi ya Yanga vs CBE | Young Africans SC imetoa taarifa kwa wapenzi na wanachama wake kuhusu udhamini wa mechi zao mbili zijazo za Ligi ya Mabingwa dhidi ya CBE SA kutoka Ethiopia. Kampuni ya Orbit Securities imetajwa kuwa mdhamini mkuu wa michezo hiyo miwili.

Mchezo wa kwanza utachezwa Ethiopia mnamo tarehe 14 Septemba 2024, huku mchezo wa pili ukifanyika Zanzibar tarehe 21 Septemba 2024. Simon, Mkurugenzi wa Sheria wa Young Africans SC, alithibitisha kuwa Orbit Securities itakuwa pamoja na klabu hiyo kwa michezo yote miwili, kuanzia ule wa ugenini hadi wa nyumbani.

Orbit Securities mdhamini mkuu wa mechi ya Yanga vs CBE

Orbit Securities mdhamini mkuu wa mechi ya Yanga vs CBE

ANGALIA PIA: