Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025

Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025 | Baada ya pulukushani za usajili sasa Tanzania Prison ‘Wajelajela’ wameweka hadharani kikosi chao ambacho watakacho tumumia kwa msimu wa 2024/2025.

Kikosi kimesheheni wachezaji wazuri na wenye uzoefu mkubwa kwenye michuano ya ligi kuu ya Tanzania, hivyo matumaini ni makubwa kwa Tanzania Prison kufanya vyema kwenye msimu huu wa mashindano juu ya kikosi chao.

Kikosi kinamaingizo mapya pamoja na wachezaji baazi wakiwaongoza njia wachezaji wapya kwenye kikosi. Pengine kama ilivyo desturi yao yakuthamini wachezaji wandani na kuwapa nafasi kwenye kikosi chao, msimu huu wameendeleza utaratibu huu baada ya kuwa na idadi kubwa ya wachezaji wazawa kwenye kikosi chao.

Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025

Kifuatacho ni Kikosi cha Wajelajela Tanzania Prisons kuelekea msimu mpya wa ligi kuu NBC na mashindano mengine watakayo shiriki kwenye msimu wa 2024/2025, kama ifuatavyo:-

Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025
Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025

2 Ezekia Mwashilindi
8 Mussa Haji
11 Ismail Ally
12 Samson Mwaituka
14 Salum Kimenya
17 Samson Mbangula
18 Mashack Mwamita
19 Doto Shabani
21 Ismail Mpesa
25 Benedicto Jacob
27 Athuman Chanongo
28 Nurdin Chona
29 vedastus Mwihambi
30 Zabona Mayombya
35 Abdulkarim Segeja
37 Erick Mwambenja
40 Mussa Mbisa
42 Ally Msengi
49 Osca Mwajanga
50 Edward Mwakyusa
60 Kelvin Sengati

ANGALIA PIA: