Kikosi cha Tabora United FC 2024/2025

Kikosi cha Tabora United FC 2024/2025 | Baada ya pulukushani za usajili sasa Tabora United ‘Nyuki wa Tabora’ wameweka hadharani kikosi chao ambacho watakacho tumumia kwa msimu wa 2024/2025.

Kikosi kimesheheni wachezaji wazuri na wenye uzoefu mkubwa kwenye michuano ya ligi kuu ya Tanzania, hivyo matumaini ni makubwa kwa Tabora United kufanya vyema kwenye msimu huu wa mashindano juu ya kikosi chao.

Kikosi kinamaingizo mapya pamoja na wachezaji baazi wakiwaongoza njia wachezaji wapya kwenye kikosi. Pengine kama ilivyo desturi yao yakuthamini wachezaji wandani na kuwapa nafasi kwenye kikosi chao, msimu huu wameendeleza utaratibu huu baada ya kuwa na idadi kubwa ya wachezaji wazawa kwenye kikosi chao.

Kikosi cha Tabora United FC 2024/2025

Kifuatacho ni kikosi rasmi cha msimu cha klabu ya Tabora United kwenye msimu wa mashindano wa 2024/2025, ambapo kimatangwanza kilicho sheheni nwachezaji wageni kwenye ligi ila wenye uwezpo mkubwa sana wa kupambana, na nikama ifuatavyo:-

Kikosi cha Tabora United FC 2024/2025
Kikosi cha Tabora United FC 2024/2025

5 Nassry Kombo
6 Nelson Muganga
7 Daniel William
8 Asiegbu Shedrack
9 Ibrahim Hamad
10 Yacouba Songne
12 salum Chuku
13 Shafi MAULID
17 Abdallah Seseme
18 Ally Makarani
19 Heritier Makambo
20 Ismail Mhesa
22 Emmanuel Chilekwu
27 Ivan Bogere
28 Pemba Kevin
29 Banele Juniour
30 Hussein Masalanga
31 Offen Chikalo
33 Haroun Mandanda
36 Omary Yusufu
55 January Nguya

ANGALIA PIA: