Gharama za Leseni ya Udereva Tanzania

Gharama za Leseni ya Udereva Tanzania | Bei au gharama za leseni ya udereva ni kama ifuatavyo Ada za leseni: shilingi 70,000 kulipwa kila baada ya miaka 3 Ada ya mtihani wa kuendesha gari: shilingi 3,000 Ada ya leseni ya muda: shilingi 10,000 kulipwa kila baada ya miezi 3.

Hizi ndizo gharama mpya za leseni ya udereva zinazohitajika kulipwa ili kuruhusiwa kuendesha magari. Gharama hizi za leseni za udereva na usajili wa magari ziliongezeka mwaka 2019, lengo likiwa ni kupunguza gharama za uchapishaji wa leseni kwa miaka mitatu kwani leseni hizo zinaweza kudumu zaidi. ya miaka mitano. na huu ndio uchanganuzi wa gharama zake.

Gharama za Leseni ya Udereva Tanzania

Ikiwa bado hujui jinsi ya kupata leseni ya dereva, unaweza kusoma makala niliyoweka kwenye kiungo.

Gharama za Leseni ya Udereva Tanzania
Gharama za Leseni ya Udereva Tanzania
Ada za leseni Tsh 70,0000
Ada jaribio la kuendesha Tsh 3000
Ada za leseni ya muda Tsh 10,000
Usajili wa magari Tsh  50,0000

Leseni ya udereva ni waraka rasmi unaotolewa na mamlaka husika mfano idara ya usalama barabarani au idara ya leseni ya udereva kwa mtu ambaye amepata kihalali maarifa na sifa za kuendesha gari. Leseni hii inathibitisha kwamba mtu amekidhi matakwa ya kisheria na amepata mafunzo muhimu ya kuwa udereva.

ANGALIA PIA: