KENGOLD Yaachana na Kocha wake Fikir Elias

KENGOLD Yaachana na Kocha wake Fikir Elias, TAARIFA KWA UMMA

KENGOLD Yaachana na Kocha wake Fikir Elias

Uongozi wa klabu ya Kengold Sc unawapa taarifa ya kuwa Kocha Mkuu Fikir Elias na kocha msaidizi Luhaga Makunja wameomba kuondoka ndani ya timu yetu hivyo basi na sisi kama klabu tumeridhia kuondoka kwao.

Kuanzia sasa timu ipo chini ya kocha Jumanne Charles kwa muda.

Uongozi unawashukuru kwa muda wao wote waliokuwepo hapa klabuni na tunawatakia kila la heri katika maisha yao mengine nje ya Kengold Sc.

Benson Mkocha
CEO Kengold Sc
16.09.2024

ANGALIA HII: