Kikosi cha Azam FC dhidi ya KMC Leo 19/09/2024

Kikosi cha Azam FC dhidi ya KMC Leo 19/09/2024 | Hiki ndicho kikosi cha Azam kitakacho ikabili KMC leo kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara NBC.

Azam ni miongoni mwa timu kubwa sasa kwenye ligi y a Tanzania imekuwa ikitoa changamoto sana kwenye ligi kwa miaka ya hivi karibuni, itakumbukwa msimu uliopita ilimaliza kwenye nafasi mbili za juu. Kwa bahati mbaya sana msimu huu haujaaza vyema kwao kwenye ligi ya NBC.

Katika michezo miwili ya ligi waliocheza awajafanikiwa kupata matokepo yoyote ndani ya dakika 90′ wala kufunga goli lolote. Jombo jema kwao ni kwamba wanasafu imara ya ulizi ambayo haijaruhusu goli. Mashaka yanaingia kwa mashabiki wao juu ya mwenendo wao kwenye ligi na kuona hawatafikia malengo yao msimu huu kama ilivyo kuwa msimu uliomalizika.

KMC katika michezo mitatu iliyo pita wamefanikiwa kupata alama 4 na wakiwa nafasi ya 7 kwenye msimamo wakishinda mchezo 1 wakitoa  sare mchezo 1 na wakipoteza mchezo 1. Hivyo matumaini yao nikuwa na mchezo bora sana leo dhidi ya KMC.

Kikosi cha Azam FC dhidi ya KMC Leo 19/09/2024

Azam XI: Mustafa, Lusajo, Msindo, Fuentes, Bangala, Akaminko, Bin Zayd, Fei Toto, Sopu, Blanco, Sillah

ANGALIA PIA: