Ratiba ya Raundi ya 2 ya Awali CAF 2024/25

Ratiba ya Raundi ya 2 ya Awali CAF 2024/25 | RATIBA ya Klabu Bingwa Afrika CAF 2024-2025.

Mechi hizi ni za hatua ya awali ya mashindano mawili makubwa barani Afrika: CAF Champions League na CAF Confederation Cup, ambapo timu mbalimbali kutoka nchi za Afrika zinapambana kusaka nafasi ya kufuzu katika hatua za makundi.

Young Africans SC kutoka Tanzania wanacheza dhidi ya CBE FC ya Ethiopia katika mechi ya marudiano. Yanga wanatarajiwa kupata matokeo mazuri baada ya kushinda 1-0 kwenye mechi ya kwanza Addis Ababa. Mashabiki wa soka wanatazamia mechi hizi kwa hamu kubwa, huku timu zikifanya juhudi kuingia kwenye hatua inayofuata.

Ratiba ya Raundi ya 2 ya Awali CAF 2024/25

20 Septemba 2024

  • CR Belouizdad (Algeria) AS Douanes (Niger)
Ratiba ya Raundi ya 2 ya Awali CAF 2024/25
Ratiba ya Raundi ya 2 ya Awali CAF 2024/25

21 Septemba 2024

  • TP Mazembe (DR Congo) Red Arrows FC (Zambia)
  • Atlético Petróleos (Angola) AS Maniema Union (DR Congo)
  • Al Ahly FC (Misri) Gor Mahia FC (Kenya)
  • Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini) Mbabane Swallows FC (Eswatini)
  • Orlando Pirates (Afrika Kusini) Jwaneng Galaxy FC (Botswana)
  • Young Africans (Tanzania) CBE FC (Ethiopia)
  • ES Tunis (Tunisia) Dekadaha FC (Somalia)
  • Pyramids FC (Misri) APR FC (Rwanda)
  • Raja CA (Morocco) FC Samartex 1996 (Ghana)
  • MC Alger (Algeria) US Monastirienne (Tunisia)

22 Septemba 2024

  • Sagrada Esperança (Angola) Rangers FC (Nigeria)
  • ASKO de Kara (Togo) Djoliba AC de Bamako (Mali)
  • Milo FC (Guinea) Stade d’Abidjan (Ivory Coast)
  • ASFAR Club (Morocco) El Merreikh (Sudan)
  • Al Hilal SC (Sudan) FC San Pedro (Ivory Coast)

ANGALIA PIA: