Cole Palmer Aweka Historia, Kufunga Goli Nne Kipindi cha Kwanza

Cole Palmer Aweka Historia, Kufunga Goli Nne Kipindi cha Kwanza | Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Cole Palmer, ameweka rekodi mpya kwenye Ligi Kuu England baada ya kufunga mabao manne katika kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Brighton.

Hat-trick ya haraka ya Palmer iliipeleka Chelsea mapumzikoni wakiwa mbele kwa mabao 4-2 dhidi ya Brighton, huku akivunja rekodi kwa kuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Ligi Kuu kufunga magoli manne ndani ya kipindi cha kwanza.

Cole Palmer Aweka Historia, Kufunga Goli Nne Kipindi cha Kwanza
Cole Palmer Aweka Historia, Kufunga Goli Nne Kipindi cha Kwanza

Hatua hii inasisitiza uwezo wake mkubwa wa kushambulia, huku akionyesha kuwa nguvu muhimu kwa kikosi cha Chelsea. Mchango wake umeimarisha matumaini ya timu hiyo katika kampeni za msimu huu wa Ligi Kuu.

ANGALIA PIA: