Ratiba ya Mechi za UEFA 2024/2025 Mechi za Pili

Ratiba ya Mechi za UEFA 2024/2025 Mechi za Pili | Ratiba ya mechi za Matchday 2 za mashindano ya UEFA. Timu zinazoshiriki ni kutoka kwenye ligi kuu za soka za Ulaya.

Ratiba ya Mechi za UEFA 2024/2025 Mechi za Pili

Mechi hizi zinahusisha vilabu vikubwa vya soka, ambavyo vitacheza dhidi ya kila kimoja kama sehemu ya hatua ya makundi au mechi nyingine za UEFA. Ratiba ya Mechi za UEFA 2024/2025 Mechi za Pili, Timu zinazokutana ni:-

 Ratiba ya Mechi za UEFA 2024/2025 Mechi za Pili

  1. Salzburg vs Brest
  2. Stuttgart vs Sparta Praha
  3. Arsenal vs Paris (PSG)
  4. Borussia Dortmund vs Celtic
  5. Barcelona vs Young Boys
  6. Inter Milan vs Crvena Zvezda
  7. Leverkusen vs AC Milan
  8. PSV vs Sporting CP
  9. Slovan Bratislava vs Manchester City
  10. Girona vs Feyenoord
  11. Shakhtar Donetsk vs Atalanta
  12. Aston Villa vs Bayern Munich
  13. Benfica vs Atletico Madrid
  14. GNK Dinamo vs Monaco
  15. RB Leipzig vs Juventus
  16. Lille vs Real Madrid
  17. Liverpool vs Bologna
  18. Sturm Graz vs Club Brugge

Kila mechi inaonyesha timu zenye alama nzuri katika ligi za nchi zao na zilizo na historia ya ushindani mkali katika mashindano ya UEFA, na hizi mechi zinatarajiwa kuvutia watazamaji wengi.

ANGALIA PIA: