Jinsi ya kulipia kadi ya CCM ada za uwanachama

CCM ada za uwanachama

Jinsi ya kulipia kadi ya CCM ada za uwanachama | Fahamu namna ya kulipia ada za uanachama kwa kutumia simu ya kiganjani kupitia mitandao ya Airtel Money, M-pesa, Tigopesa na wakala wa #CRDB kwa wanachama waliosajiliwa katika mfumo wa kielekroniki wa uanachama.

Jinsi ya kulipia kadi ya CCM ada za uwanachama

Jinsi ya kulipia kadi ya CCM ada za uwanachama

T-PESA

  • 1 Piga *150*71#

  • 2 Chagua 5 ‘Huduma za kifedha’

  • 3 Chagua 1 ‘TTCL Kwenda Benki’

  • 4 Chagua 2 ‘Orodha ya Benki’

  • 5 Chagua 2 ‘CRDB’

  • 6 Ingiza namba ya malipo
    Mfano: C0000000102301

  • 7 Weka kiasi

  • 8 Weka namba ya siri

M-Pesa

  • 1 Piga *150*00#

  • 2 Chagua 6 ‘Huduma za kifedha’

  • 3 Chagua 2 ‘Mpesa kwenda Benki’

  • 4 Chagua 1 ‘Kwenda CRDB’

  • 5 Chagua 2 ‘Weka Control Number’

  • 6 Ingiza namba yako ya Kielektroniki
    Mfano: C0000000102301

  • 7 Weka Kiasi

  • 8 Weka namba yako ya siri

  • 9 Chagua 1 ‘Kubali’

Tigo Pesa

  • 1 Piga *150*01#

  • 2 Chagua 4 ‘Lipa Bili’

  • 3 Chagua 3 ‘Ingiza Namba ya kampuni’

  • 4 Namba ya Kampuni ni 900600

  • 6 Weka Kumbukumbu Namba [Namba yako ya kielektroniki
    Mfano: C0000000102301 ]

  • 7 Weka Kiasi

  • 8 Weka Namba ya Siri

  • 9 Chagua 1 ‘Kubali’

Airtel Money

  • 1 Piga *150*60#

  • 2 Chagua 1 ‘Tuma Pesa’

  • 3 Chagua 4 ‘Tuma Kwenda Benki’

  • 4 Chagua 2 ‘CRDB’

  • 4 Chagua 2 ‘Lipa kwa Namba ya Malipo’

  • 4 Ingiza namba ya Kumbukumbu

  • 5 Weka namba yako ya kielektroniki
    Mfano: C0000000102301

  • 6 Weka kiasi cha Pesa

  • 7 Weka neno la siri