Ratiba ya NBC Ligi Kuu Tanzania Leo 25 February 2024

NBC Ligi Kuu Tanzania

Ratiba ya NBC Ligi Kuu Tanzania Leo 25 February 2024 | NBC Ligi Kuu Tanzania Bara ni ligi ya kiwango cha juu ya soka ya Tanzania, inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania.

Ligi Kuu ya Tanzania (TPL) inafuata muundo wa kawaida wa mzunguko wa pande mbili: kila timu ikicheza na nyingine mara mbili, nyumbani na ugenini. Kila ushindi hupata pointi tatu, sare hupata pointi kwa timu zote mbili, na kupoteza hupata pointi sifuri.

Ratiba ya NBC Ligi Kuu Tanzania Leo 25 February 2024

Kwenye muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo jumapili kutakuwa na michezo minne itakayo chezwa kwenye viwaja vinne tofauti, Baada ya michezo hii kutakuwa na utofauti kidogo kwenye msimamo wa ligi kutokana na matokeo yatakayo patikana kwenye michezo hii ya leo.

FT: Tabora United 1-1 Singida FG

Yahya Mbegu 53′
John Nakibinge 83′

16:00 – Tanzania Prisons Vs Azam FC

16:00 – Geita Gold vs Mashujaa FC

18:00 – Kagera Sugar vs Ihefu FC

Editors’ Picks