Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania

Vifahamu vyeo Polisi Tanzania

Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania | Inawezekana ulikuwa unajiuliza kuhusu vyeo vya Polisi, mambo ya Nyota mara V begani yana maana gani. Leo Wakuja nimeamua kuja na Uzi huu Mfupi wa vyeo 15 vya Jeshi la Polisi.

Kwa mjibu wa Jeshi la Polisi vyeo hivi vinaanzia juu kabisa kwenda chini. IGP to Constable

Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania

Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP)

Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi(DIGP)

Kamishina wa Polisi(CP)

Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania

Naibu Kamishina wa Polisi(DCP)

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP)

Kamishina Msaidizi wa Polisi(ACP)

Mrakibu Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SSP)

Mrakibu wa Polisi(SP)

Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania

Mrakibu Msaidizi wa Polisi(ASP)

Mkaguzi wa Polisi(Insp)

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi(A/Insp)

Sajini Meja wa polisi(rsm)

Stesheni Sajini wa Polisi(s/sgt)

Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania

Sajini wa Polisi(sgt)

Koplo wa Polisi(cpl)

Konstebo wa Polisi(pc)

See also:

  1. Ratiba ya Ligi kuu ya NBC Tanzania mizunguko ya 18, 19 na 20
  2. Ratiba ya michezo ya ligi kuu NBC leo Februari 28, 2024
  3. MSIMAMO wa Ligi Kuu NBC Leo 27/02/2024
  4. Ratiba ya Yanga March 2024
  5. Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2023/2024
  6. Ligi 10 Bora Afrika | Best Football Leagues in Africa 2023/2024
  7. Ratiba ya NBC Ligi Kuu Tanzania Leo 25 February 2024
  8. Ratiba ya Yanga CAF Champions League 2023/2024