Timu zilizofungwa magoli machache Ligi Daraja la kwanza 2023/2024

Timu zilizofungwa magoli machache Ligi Daraja la kwanza 2023/2024: Kama ilivyo wenye sanaa ya upachikaji magoli aina tofauti sana na sanaa ya uzuiaji (ulizi) kwenye mpira wa miguu.

Falsafa za mpira wa miguu zinaamini ili uweze kushinda mchezo wa mpira wa miguu unapaswa kuwa na ulizi imara na ukitata kushinda vikombe inabidi uwe na safu imara ya ushambuliaji.

Leo tutatazama sanaa ya ulizi kwenye mpira wa miguu kwa timu za ligi daraja la kwanza (NBC Championship Tanzania) ambazo zimekuwa na uwiano mzuri wa kiulizi kwa michezo waliyo cheza na kufanikiwa kuruhusu magoli mache zaidi kuishinda timu zingine zote za NBC Ligi daraja la kwanza 2023-2024.

Timu zilizofungwa magoli machache Ligi Daraja la kwanza 2023/2024

KenGold FC – 12

Pamba FC – 12

Biashara United – 14

TMA FC – 15

Mbeya Kwanza – 22

Mbeya City – 22

Polisi Tanzania – 23

See also:

  1. Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania
  2. Ratiba ya Ligi kuu ya NBC Tanzania mizunguko ya 18, 19 na 20
  3. Ratiba ya michezo ya ligi kuu NBC leo Februari 28, 2024
  4. MSIMAMO wa Ligi Kuu NBC Leo 27/02/2024
  5. Ratiba ya Yanga March 2024
  6. Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2023/2024
  7. Ligi 10 Bora Afrika | Best Football Leagues in Africa 2023/2024
  8. Ratiba ya NBC Ligi Kuu Tanzania Leo 25 February 2024
  9. Ratiba ya Yanga CAF Champions League 2023/2024