Timu zilizoshinda michezo mingi ya Ligi Daraja la kwanza 2023-24

Timu zilizoshinda michezo mingi ya Ligi Daraja la kwanza 2023-24: Timu kinara wa msimamo wa NBC championship Ligi daraja la kwanza msimu huu, Timu iloshinda michezo mingi kulikowezake championship Tanzania.

Ushindi ndio siri kubwa ya bingwa kwenye ligi yoyote ile duniani, ikiwa unaitaji kuwa mpigania ubingwa wa ligi ni lazaima uwe na asilimia kubwa za kushinda mchezo kuliko kupoteza au kuutoa sare.

Miongoni mwa sababu zinazofanya timu kushinda michezo mingi ni pamoja na uimara wa kikosi, maandalizi bora ya msimu na kuwa na wachezaji bora wenye uwezo wakuipigania timu kwenye kutafuta matokeo ya alama 3.

Mara zote timu iloshinda michezo mingi inapimwa kwa takwimu za magoli ya kufunga na kushinda pamoja na michezo ya kushinda nyumbani na ugenini.

Timu zilizoshinda michezo mingi ya Ligi Daraja la kwanza 2023-24

Tutazame timu za ligi daraja la kwanza zenye uwiano mzuri wa kushinda mechi zao, kumbuka miongoni mwa ligi ngumu kwa sasa ni ligi daraja la kwanza kwakuwa kilatimu inandoto za kucheza ligi kuu msimu unaofuata.

KenGold — 15 (kwa michezo 22)

Biashara United — 15 (kwa michezo 22)

Pamba FC — 14 (kwa michezo 22)

Mbeya Kwanza — 14 (kwa michezo 22)

Mbuni FC — 11 (kwa michezo 22)

TMA FC — 10 (kwa michezo 22)

Mbeya City — 10 (kwa michezo 22)

See also:

  1. Timu zilizofunga magoli mengi Ligi Daraja la Kwanza 2023-24
  2. Jinsi ya Kuangalia ligi ya Daraja La kwanza NBC Championship
  3. Timu zilizofungwa magoli machache Ligi Daraja la kwanza 2023/2024
  4. Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania
  5. Ratiba ya Ligi kuu ya NBC Tanzania mizunguko ya 18, 19 na 20
  6. Ratiba ya michezo ya ligi kuu NBC leo Februari 28, 2024
  7. MSIMAMO wa Ligi Kuu NBC Leo 27/02/2024
  8. Ratiba ya Yanga March 2024
  9. Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2023/2024
  10. Ligi 10 Bora Afrika | Best Football Leagues in Africa 2023/2024
  11. Ratiba ya NBC Ligi Kuu Tanzania Leo 25 February 2024
  12. Ratiba ya Yanga CAF Champions League 2023/2024