Golikipa mwenye clean-sheet nyingi Ligi daraja la kwanza 2023-24

Golikipa mwenye clean-sheet nyingi Ligi daraja la kwanza 2023-24: Goal Keeper ambaye ajafunga mechi nyingi, Golikipa bora NBC Championship, Ligi daraja la kwanza kipa imara zaidi 2023-2024.

Miongoni mwa ulinzi mkubwa wa timu ni kuwa na mlinda mlango mzuri wa kuokoa hatari kwenye mchezo. Mlinda lango mzuri anauwezo wa kukuakikishia ushindi kwa asilimia kubwa.

Kwenye ligi ya NBC Championship imekuwa tofauti kwakuwa timu nyingi zimeonekana hazina magolikipa wazuri sana kiasi kwamba timu nyingi zimeonekana zikiruhusu zana magoli na kufanya kukosa walinda mlango wenye clean sheet nyingi kwenye orodha.

Golikipa mwenye clean-sheet nyingi Ligi daraja la kwanza 2023-24

Tutazame orodha ya walinda mlango au magolikipa wenye wastani mzuri kwenye ulinzi na kutoruhusu magoli kwenye michezo waliyoshuka uwanjani mpaka sasa kwenye ligi daraja la kwanza/NBC Championship Tanzania 2023-24.

Golikipa mwenye clean-sheet nyingi Ligi daraja la kwanza 2023-24

Castor Mhagama — 14

Yusuf Abdul — 12

Robert Mapigano — 9

Jeremia Kisubi — 8

Adam Oseja — 6

Christopher John — 6

Fahad Idrisa — 6

Paul Kamtewe — 6

See also:

  1. Timu zilizoshinda michezo mingi ya Ligi Daraja la kwanza 2023-24
  2. Timu zilizofunga magoli mengi Ligi Daraja la Kwanza 2023-24
  3. Jinsi ya Kuangalia ligi ya Daraja La kwanza NBC Championship
  4. Timu zilizofungwa magoli machache Ligi Daraja la kwanza 2023/2024
  5. Vifahamu vyeo 15 vya Polisi Tanzania
  6. Ratiba ya Ligi kuu ya NBC Tanzania mizunguko ya 18, 19 na 20
  7. Ratiba ya michezo ya ligi kuu NBC leo Februari 28, 2024
  8. MSIMAMO wa Ligi Kuu NBC Leo 27/02/2024
  9. Ratiba ya Yanga March 2024
  10. Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2023/2024
  11. Ligi 10 Bora Afrika | Best Football Leagues in Africa 2023/2024
  12. Ratiba ya NBC Ligi Kuu Tanzania Leo 25 February 2024
  13. Ratiba ya Yanga CAF Champions League 2023/2024