Kikosi Cha Yanga chawasili Cairo, Egypt Kuikabili Al Ahly

Kikosi Cha Yanga chawasili Cairo, Egypt Kuikabili Al Ahly | Kikosi cha Yanga dhidi ya Al Ahly march mosi 2024.

Baada ya mchezo wa CR Belouzidad na Yanga kuibuka na ushindi wa 4-0 wanatarajia kushuka dimbani tena na kucheza mchezo wao wa mwisho zidi ya Al Ahly tarehe 01 March 2024.

Kikosi Cha Yanga chawasili Cairo, Egypt Kuikabili Al Ahly

Mchezo huu unaweza kuwa na umuimu sana kwa timu zote mbili licha ya timu zote mbili kufuzu kwenye hatua ya robo fainali. Kila timu inahitaji kushinda huu mchezo ili kuwa na nafasi ya kuongoza kundi, kitu ambacho kitawapa nafuhu kwenye droo ya kupanga timu za robo fainali.

Mfumo wa CAF unaeleza timu itakayo maliza nafasi ya kwanza atacheza na timu iliyomaliza nafasi ya pili kwenye kundi, hivyo itawapa nafasi zuri ya kuanzia ugenini kwenye mchezo wao wa kwaza.

Kikosi chawasili Cairo, Egypt Kuikabili Al Ahly

See also:

  1. Golikipa mwenye clean-sheet nyingi Ligi daraja la kwanza 2023-24
  2. Timu zilizoshinda michezo mingi ya Ligi Daraja la kwanza 2023-24
  3. Timu zilizofunga magoli mengi Ligi Daraja la Kwanza 2023-24
  4. Jinsi ya Kuangalia ligi ya Daraja La kwanza NBC Championship