Gharama za Mechi za Al Hilal Ligi Kuu

Al Hilal kwenye Ligi Kuu

Gharama za Mechi za Al Hilal Ligi Kuu – Afisa Habari wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania [TFF] Cliford Ndimbo ameeleza kuwa watalitolea ufafanuzi suala la nani atagharamikia kuisafirisha timu itakayoenda kucheza na Al Hilal Omdurman ugenini.

Ndimbo ameweka wazi kuwa taarifa hiyo wataitolea ufafanuzi hivi karibuni juu ya nani ataingia gharama lakini pia wataona kama itawezekana timu hiyo kuhesabiwa alama zake itakazovuna kwenye hiyo michezo.

Gharama za Mechi za Al Hilal Ligi Kuu
Gharama za Mechi za Al Hilal Ligi Kuu

“Tutalitolea ufafanuzi hilo suala, tumetoa ufafanuzi wa taarifa ya kwanza na taarifa zingine zitafuata,” amesema Cliford Ndimbo.

See also: