Hali ya Wachezaji wa Yanga ambao walipata majeraha

Hali ya Wachezaji wa Yanga ambao walipata majeraha – “Hali ya Wachezaji wetu ambao walipata majeraha Kibwana ataanza mazoezi mepesi hivi karibuni, Aucho anaendelea na sehemu ya pili ya mazoezi. Mauya hali yake imeimarika.

Hali ya Wachezaji wa Yanga ambao walipata majeraha

Yao alichanika nyama za paja na hali yake ni 50/50 kuelekea mchezo wetu wa robo fainali ya kwanza #CAFCL dhidi Mamaelodi. Pacome aliumia goti na aliitwa timu yake ya Taifa ya Ivory Coast na atapata matibabu akiwa na timu ya Taifa”

See also: