Asemahle Wellem Bondi kutoka Afrika Kusini

Asemahle Wellem Bondi kutoka Afrika Kusini

Asemahle Wellem Bondi kutoka Afrika Kusini – Huyu ndiye Asemahle Wellem, bondia kutoka Afrika Kusini, ambaye tayari ameshakuja Tanzania mara mbili kwa ajili ya ndondi.

Umri wake ni miaka 23 na kwenye Usiku Wa Vita uliofanyika Warehouse Masaki, ilikuwa ndio mara yake ya kwanza kuangushwa ulingoni.

Pamoja na kutoa droo kwenye pambano lake dhidi ya bondia Selemani Kidunda, jina la Wellem limesalia kwenye midomo ya wapenda ngumi kutokana na uwezo aliouonesha Ijumaa.

Unatamani kumwona tena katika ardhi ya Tanzania akizichapa ulingoni?/Asemahle Wellem Bondi kutoka Afrika Kusini.

Asemahle Wellem Profile

division: super middle
rating: #31 / 1,521 | #1 / 7
bouts: 7
rounds: 40
KOs: 42.86%
career: 2021-2023
debut: 2021-07-10
ID#: 1020370
sex: male
age: 23
nationality: South Africa
residence: South Africa
birth place: South Africa

Asemahle Wellem Bondi kutoka Afrika Kusini

See also:

Nchi Salama Zaidi za Afrika za Kutembelea 2024

ORODHA ya Wafungaji Bora Klabu Bingwa Afrika CAF 2023/24

Takwimu za Pacome Zouzoua Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/24

Tanzania yapeleka wawakilishi wawili robo fainali ligi ya mabingwa

Ratiba ya Klabu Bingwa Robo fainali 2023/2024 CAF

Matokeo Hatua ya Makundi Klabu Bingwa CAF 2023-2024

Al-Ahly wamemaliza kileleni mwa Kundi A baada ya kushinda 1-0 dhidi ya Young Africans

CAFCL 2023/24: Simba yaungana na Asec Mimosas Robo Fainali

Timu za Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2023/24

Timu aliyopangiwa Yanga CAF 2023/24

Kikosi cha Yanga kinaondoka kuelekea Cairo kumenyana na Ahly

Kikosi Cha Yanga chawasili Cairo, Egypt Kuikabili Al Ahly

Golikipa mwenye clean-sheet nyingi Ligi daraja la kwanza 2023-24

Timu zilizoshinda michezo mingi ya Ligi Daraja la kwanza 2023-24