CV ya Joshua Mutale Mchezaji Mpya wa Simba 2024/25

CV ya Joshua Mutale Mchezaji Mpya wa Simba 2024/25 | TETESI za USAJILI SIMBA SC: Joshua Mutale Kuingia Kwenye Kikosi Cha Simba msimu 2024/25

Simba inaendelea kusuka kikosi chake kimyakimya huku ikielezwa kwamba kati ya mastaa 12 wa kigeni waliomaliza na kikosi hicho msimu wa 2023-2024, ni nyota watatu tu wanaobaki kwa ajili ya msimu ujao.

“Je, wanaokuja wataweza kweli?” Hilo ndilo swali unaloweza kujiuliza kuhusiana na timu hiyo kwa msimu ujao. Katika wachezaji hao watatu wa kigeni wanaobaki anaongezwa Aubrin Kramo, ambaye alijiunga na timu hiyo msimu wa 2023-2024, lakini hakucheza mechi za mashindano kutokana na kuuguza majeraha ya muda mrefu. Kwa sasa amepona na anarudi kukiwasha.

Mbali na wachezaji hao, Simba inahusika na kujiunga kwa Joshua Mutale kwenye kikosi chao. Mutale tayari ametua Dar es Salaam na wanachama wa Simba wana hamu kubwa ya kuona kikosi kipya kikiwa na nyota huyo.

CV ya Joshua Mutale Mchezaji Mpya wa Simba 2024/25

Date of birth/Age: Jan 24, 2002 (22)
Height: 1,65 m
Citizenship: Zambia
Position: Attack – Right Winger
Current club: Power Dynamos FC

Simba wanatarajia kuimarisha kikosi chao kwa usajili wa Joshua Mutale, ambaye ni mchezaji mwenye kasi na uwezo mkubwa wa kushambulia kutoka pande zote za uwanja. Uwepo wake utaleta mabadiliko makubwa katika safu ya ushambuliaji ya Simba, ambayo inahitaji nguvu mpya ili kurudisha ubingwa wa Ligi Kuu Bara.

CV ya Joshua Mutale Mchezaji Mpya wa Simba 2024/25
CV ya Joshua Mutale Mchezaji Mpya wa Simba 2024/25

Wachezaji 12 wanaondoka Power Dynamos akiwemo nahodha wao.

1. Godfrey Ngwenya – Anahamia Klabu ya Red Arrows kwa mkataba wa kudumu.

2. Andy Bowa Boyeli – Anahamia Sekhukune United ya Afrika Kusini kwa mkataba wa kudumu.

3. Joshua Mutale – Anahamia Simba Sports Club ya Tanzania kwa mkataba wa kudumu.

4. Francis Zulu – Arudi kwa Klabu mama, Prison Leopards.

5. Moses Phiri – Kuisha kwa mkataba wa mkopo.

6. Chabu Chisenga – Kuisha kwa mkataba.

7. White Mwanambaba – Kuisha kwa mkataba.

8. Hamza Adama – Kuisha kwa Mkataba.

9. Kalonji Mwepu- Kuisha kwa mkataba.

10. Laurent Muma – Kutengana kwa pande zote.

11. Lionel Bong – Kutengana kwa pande zote.

12. Kouassi Kouadja – Kutengana kwa pande zote.

SEE ALSO: