DAR BOXING DERBY Ratiba ya Mapambano na Muda wake

DAR BOXING DERBY Ratiba ya Mapambano na Muda wake | Huu utakuwa usiku wa kusisimua kwa mashabiki wa ngumi nchini Tanzania! Mkutano wa Dar Boxing Derby unatarajiwa kufanyika tarehe 29 Juni katika viwanja vya Posta Kijitonyama, Dar es Salaam. Hapa kuna taarifa zaidi kuhusu tukio hilo:

DAR BOXING DERBY Ratiba ya Mapambano na Muda wake

Tukio: Dar Boxing Derby
Tarehe: 29 Juni, 2024
Mahali: Viwanja vya Posta Kijitonyama, Dar es Salaam
Muda:

  • LIVE Coverage: Saa 1:00 usiku kwenye Azam Sports 3HD
  • Mchezo Mkuu: Saa 2:45 usiku hadi saa 3:20 usiku
DAR BOXING DERBY Ratiba ya Mapambano na Muda wake
DAR BOXING DERBY Ratiba ya Mapambano na Muda wake

Anuary Mlawa vs Ramadhan Migwede – 1:00 hadi saa 1:35

Kassim Hamad vs Gabriel Morris – 1:40 hadi saa 2:15 usiku

Said Mkola vs Said Bwanga – 5:05 hadi saa 5:40 usiku

Tony Rashid vs Oscar Richard – 5:45 hadi saa 6:20 usiku

SEE ALSO: