Dullah Planet mtangazaji mpya Crown FM

Dullah Planet mtangazaji mpya Crown FM: Leo mchana mwanamziki AllKiba amemtangaza mtangazaji nguli na maarufu hapa nchini Dulla Planet kama mtangazaji mpya kwenye kituo cha habari cha Crown Media TZ.

Dulla Planet alikuwa mtangazaji wa ETV (East Africa TV) ambapo alihudumu kwa miaka mingi akitangaza habari za burudani akijikita zaidi kwenye muziki wa bongo. Mtangazaji huyo aliachana na redio hiyo mapema mwaka huu na kutangaza kupumzika kutangaza, punde Alikiba akamtangaza kama mtangazaji mpya wa Crown FM.

Dullah Planet mtangazaji mpya Crown FM

Dullah Planet mtangazaji mpya Crown FM

See also: