Erling Haaland Avunja Rekodi ya Miaka 13 ya Wayne Rooney

Erling Haaland Avunja Rekodi ya Miaka 13 ya Wayne Rooney | Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Braut Haaland, ameweka historia mpya baada ya kuvunja rekodi ya mabao iliyowekwa na Wayne Rooney katika msimu wa 2011/12.

Rooney, aliyekuwa nyota wa Manchester United, alifunga mabao 8 katika mechi 4 za mwanzo wa msimu huo na kuhitimisha msimu akiwa na jumla ya mabao 27.

Erling Haaland Avunja Rekodi ya Miaka 13 ya Wayne Rooney
Erling Haaland Avunja Rekodi ya Miaka 13 ya Wayne Rooney

Haaland amevuka rekodi hiyo kwa kufikisha mabao 9 baada ya kupachika mabao mawili katika mechi ya leo, ikiwa ni mechi nne za mwanzo wa msimu huu wa ligi. Hii inamfanya Haaland kuwa mshambuliaji hatari zaidi katika mwanzo wa msimu, akiendelea kuonyesha uwezo mkubwa wa kufumania nyavu kwa kasi zaidi kuliko Rooney.

ANGALIA PIA: