Jeshi la Wanachi la Tanzania (JWTZ)
Fahamu Mishahara na Vyeo vya JWTZ | Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) (kwa Kiingereza Tanzania People’s Defence Force TPDF) ni jeshi lililoanzishwa Septemba mwaka 1964. Lilichukua nafasi ya jeshi la Tanganyika Rifles lililorithiwa na koloni la Waingereza.
Kabla ya ukoloni jamii za Tanzania zilikuwa na jeshi lililojumuisha wanaume wote hasa vijana. Lakini baada ya vita kila mtu alirudi kwenye kazi yake ya kawaida hapakuwa na askari wa kudumu. Katika karne ya 19 mfumo mpya wa vita ulienea baada ya ujio wa Wangoni ambao walipanga askari kulingana na umri katika vikosi (“impi”) na vikosi hivi vilikutana kwa mazoezi hata nje ya vita yenyewe.
Tangu kuenea kwa silaha za moto, viongozi kadhaa kama Mirambo waliunda vikosi vya ragaruga ambavyo vilikusanya vijana kutoka makabila tofauti kwa vita vyao.
Sultani wa Zanzibar alikuwa na askari wa kudumu. Mwanzoni alitumia mamluki walioajiriwa kutoka Uarabuni na Uajemi, hasa Baluchistan, pamoja na watumwa.
Fahamu Mishahara na Vyeo vya JWTZ
Vyeo vimepangwa kwa daraja kubwa zaidi mpaka dogo zaidi
Jenerali
Luteni Jenerali
Meja Jenerali
Brigedia
Kanali
Luteni Kanali
Meja
Kapteni
Luteni
Luteni-usu
Afisa Mteule Daraja la Kwanza
Afisa Mteule Daraja la Pili
Sajinitaji (Staff Sergeant)
Sajenti
Koplo
Koplo-usu
See also:
- Sifa ya Kujiunga na JWTZ 2024
- Sifa za Mashairi ya Kisasa
- Sifa za mashairi ya kimapokeo
- Menu ya vifurushi vya Airtel, Tigo, Halotel, Vodacom & Zantel
- Jinsi ya Kuangalia na Kulipa Deni la Gari Trafiki
- Jinsi ya kuangalia deni la gari kwa simu
- Jinsi ya kujiunga na bima ya afya NHIF
- Jinsi ya kujiunga na JKT 2024/2025
Leave a Reply