GOLI la Eng. Hersi Said Rais wa Yanga Leo TEAM Job

GOLI la Eng. Hersi Said Rais wa Yanga Leo TEAM Job, Moja kati ya mchezo wa hisani wenye mvuto sana kwenye mkoa wa Morogoro na viunga vya karibu kama Pwani, Dodoma, Iringa na Dar es Salaam umechezwa leo kwenye uwanja wa Jamuhuri Morogoro ukiwausisha wachezaji wawili wa klabu ya Yanga, Dickson Job na Kibwa Shomari.

Katika Kikosi cha Team Job kulikuwe na mchezaji ambae ni kiongo wa klabu ya Yanga Raisi Eris Said, alievalia jezi namba 10 akicheza kama mshambuliaji kinara. Dakika ya 14 alifanikiwa kufunga goli la utangulizi kwa Team Job kwa njia ya kichwa moja kati ya goli zuri sana kufungwa kwenye mchezo huo akipokea majalo safi kutoka kwa Denis Nkane jezi namba 8.

GOLI la Eng. Hersi Said Rais wa Yanga Leo TEAM Job

SEE ALSO: