Hii ni Vita ya Miguel Gamondi na Mamelodi Sundowns

Hii ni Vita ya Miguel Gamondi na Mamelodi Sundowns

Hii ni Vita ya Miguel Gamondi na Mamelodi Sundowns – Msimu wa 2005/06, Mamelodi Sundowns walimtambulisha Miguel Gamondi kuchukua nafasi ya Angel Cappa ndani ya kikosi hicho cha Masandawana.

Lengo kubwa la timu lilikuwa ni kubeba ubingwa wa Ligi Kuu na kushiriki michuano ya kimataifa kwa mafanikio. Azimio la kwanza lilifanikiwa, Gamondi alichukua ubingwa wa tatu wa PSL kwa Mamelodi lakini safari ya kiliteka soka la Afrika alishindwa.

Hii ni Vita ya Miguel Gamondi na Mamelodi Sundowns
Hii ni Vita ya Miguel Gamondi na Mamelodi Sundowns

Baada ya siku 459 za kuwa kocha wa Mamelodi, Gamondi aliondoshwa na alienda kutafuta maisha kwingine.

Atarudi Afrika Kusini kwa mara nyingine, safari hii akiwa na jeshi la Wananchi kucheza dhidi ya klabu yake ya zamani katika michezo miwili ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

See also: