Hiki Hapa Kikosi Rasmi cha Simba kinachoaza dhidi ya Al Ahli Tripoli

Hiki Hapa Kikosi Rasmi cha Simba kinachoaza dhidi ya Al Ahli Tripoli | KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AL AHLI TRIPOLI YA LIBYA mchezo wa CAF Kombe la Shirikisho.

Klabu ya Simba leo itakuwa kibaruani majira ya saa 20:00 kutafuta tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya CAF klabu Bingwa ambapo wataazia ugenini kwenye mchezo wa kwanza kabla ya maruduano wiki ijayo.

Ndio! tiyari washaweka hadharani kikosi cha wacheza kitakacho wakilisha kwenye mchezo huu, kikiwa kimeshehe sajili mpya za msimu huu. Kikosi kinaonyesha matumaini makubwa ya klabu ya Simba kipata matokeo usiku wa leo kwenye mchezo wao.

Kocha Fadlu Devis amemtambulisha kikosini Leonel Ateba ikiwa ni mchezo wa pili kuanza kwenye kikosi ukiachilia mchezo wakirafiki huu unakuwa mchezo wake wa pili, pia Yusuph Kagoma ambae amekuwa gumzo wiki zima kwenye mitandano ya kijamii pia kocha amemuamini na kumpa nafasi kwenye kikosi chake cha kwanza.

Hiki Hapa Kikosi Rasmi cha Simba kinachoaza dhidi ya Al Ahli Tripoli

Kifuatacho ni Kikosi cha Simba leo dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya kwenye mchezo wa kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho CAF:-

SIMBA XI: Camara (GK), Zimbwe JR ©, Kapombe, Hamza, Che Malone, Kagoma, Debora, Ahou, Mutale, Balua, Ateba

Sub: ALLY (GK), Kijili, Chamou, Ngoma, Kibu, Awesu, Mukwala, Okjepha.

Hiki Hapa Kikosi Rasmi cha Simba kinachoaza dhidi ya Al Ahli Tripoli
Hiki Hapa Kikosi Rasmi cha Simba kinachoaza dhidi ya Al Ahli Tripoli

ANGALIA PIA: