TMS CHECK
Jinsi ya Kuangalia na Kulipa Deni la Gari Trafiki, Jinsi ya kuangalia deni la gari kwa simu | Je unatatizo la traffic barabarani na unahitaji kulipia deni la gari lako, Au ulikua unataka kuhakikisha kama gari lako lina deni au laa?
Jinsi ya Kuangalia na Kulipa Deni la Gari Trafiki, Umepoteza karatasi ya kulipia fine ya gari lako kwaio unajiuliza utafanyaje uweze kulipia deni la gari lako?
Njia sahihi ni ku Bofya link ya hapo chini itakupeleka ukurasa wa kuweza kuandika namba ya gari lako na kuona kama linadaiwa au laa. Hii link itakuwezesha pia kupata control number kwa ajili ya kufanya malipo. Au Unaweza kujaza namba za Gari lako hapo kwenye Jedwali kisha bonyeza Search utapata matokeo ya chombo chako
Jinsi ya Kuangalia na Kulipa Deni la Gari Trafiki
Tumia ukurasa huu kujua deni la gari yako online – epuka ajali tii sheria/Jinsi ya Kuangalia na Kulipa Deni la Gari Trafiki.
Jinsi ya kulipa deni la traffic
Zifuatazo ni njia za kulipia deni la traffic:
-
- Kupitia matawi ya benki:
- NBC
- NMB
- CRDB
- Kupitia matawi ya benki:
- Kupitia mitandao ya simu Lipa kwa kutumia namba ya kampuni 001001 kisha weka kumbukumbu namba yako iliyopo kwenye TMS au receipt uliyopatiwa
Kwa maelekezo zaidi piga simu namba 0677038217
Kwa Simu
Endapo utakua umekagua namba ya gari lako na kukutana na fine ambayo inatakiwa kulipwa, Unaweza tumia njia ya rahisi ya simu kufanya malipo na kuondoa deni lako
- Fungua menu ya malipo kama ni Airtel Money, M-pesa, tigo pesa au halo pesa
- Chagua namba inayo husiana na kulipia bili
- Mitandao mingine itakupa menu ya kuweza kuweka namba ya kampuni ambapo ukichagua utajaza 001001 baada ya hapo utajaza kumbukumbu namba ambayo ipo kwenye receipt ya faini au TMS uliopata online [ https://tms.tpf.go.tz/]
- Mitandao mingine itakupa option ya kujaza kumbukumbu namba mwishoni kujaza namba ya kampuni. Kwenye kumbukumbu namba jaza namba ya receipt ya TMS kwenye namba ya kampuni jaza 001001
- Baada ya hapo jaza kiasi cha malipo
- Mwisho kabisa weka namba ya siri. Deni lako litakuwa limefutika
See also:
- Jinsi ya kujiunga na bima ya afya NHIF
- Jinsi ya kujiunga na JKT 2024/2025
- Jinsi ya kupata namba ya NIDA kwa haraka
- Jinsi ya kujua namba ya NIDA | www.nida.go.tz id number
- Jinsi ya kujua anwani ya makazi
- Bei za vitanda vya chuma vya kisasa 2024
- Bei za vitanda vya mbao 2024
- Vitanda vya kisasa na bei zake
- Bei za vitanda vya sofa 2024
- Jinsi ya kununua tiketi kwa N-Card M-Pesa & Airtelmoney
- Jinsi ya kununua tiketi kwa N-Card Tigo Pesa
- Bei ya Vifurushi vya Startimes kwa Wiki
- Bei ya Vifurushi vya Startimes 2024
- Bei ya vifurushi vya DSTV Tanzania 2024
- Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Azam TV
- Bei ya Vifurushi vya Azam TV vya Wiki
- Bei ya Vifurushi vya Azam Antena
- Bei ya Vifurushi vya Azam TV 2024
- Bei ya Leseni ya Biashara Tanzania 2024
- Bei Mpya ya Mafuta Petroli, Dizeli na Mafuta ya taa
- Bei ya Madini ya Almasi Tanzania
Leave a Reply