Jinsi ya kukata bima ya gari kwa simu
Jinsi ya kukata bima ya gari kwa simu – Tunatoa huduma bora ya bima, yenye thamani ya fedha yako ili kulilinda chombo chako cha usafiri kutokana wizi au hasara itakayosababisha uharibifu likipata ajali, likiibwa au likichomeka.Tunatoa bima kwa waathirika wa matukio hayo (third-party liability).
CRDB-Bima
Sifa
Hizi ni aina ya Bima za Chombo cha Moto:
Comprehensive
Aina hii ya Bima inalipia hasara inayosababishwa na matukio ya Moto,Wizi, Ajali kwa kugonga au kupinduka na matukio mengine yanayoweza kusababisha hasara katika chombo cha moto kilichokatiwa Bima ya aina hii.
Third-party fire and theft
Aina hii ya Bima inalipia hasara iliyosababishwa na moto, wizi na mlipuko.
Third-party only
Bima hii inalipia hasara iliyosababishwa na mtu wa kati (third-party).
Jubilee Allianz General Insurance-TZ
Kukata bima sio lazima uje ofisini kwetu.
Kata bima ya gari lako kwa njia ya simu sasa. Tutakuletea stickers, policy na kadi hadi mlangoni kwako.
Bima zetu:
1. Third Party
2. Third Party fire & Theft
3. Comprehensive
Kwa magari yote, binafsi na ya biashara.
Kazi yako wewe ni kutupigia tu, na tutafanya kila kitu online na kukuletea hadi ulipo!
Tupigie leo 0746996164
VodaBima [Vodacom Tanzania]
Sasa Bima ya chombo cha moto ni papo hapo kupitia VodaBima. Kata bima kubwa au ndogo kiganjani mwako kwa urahisi kabisaa.
Tumia M-Pesa app au Piga *150 *00#>huduma za kifedha>VodaBima
See also:
- Vilabu vya thamani zaidi barani Afrika 2023/2024 – Vilabu tajiri
- Wachezaji wa Simba na Yanga wamerudi kwaajili ya Robo fainali
- Jinsi ya kurenew leseni ya udereva – Kubadilisha leseni
- Jinsi ya kuangalia leseni yako mtandaoni
- Bei ya leseni ya udereva – gharama za leseni
- Gharama za kuvuta maji 2024 – Kuunganisha maji
- Kubadilisha Combination Online – Tamisemi Selform MIS
- Jinsi ya kuweka nusu mwezi kwenye Instagram (Rahisi sana)
Leave a Reply