N-Card M-Pesa & Airtelmoney
Jinsi ya kununua tiketi kwa N-Card M-Pesa & Airtelmoney | Namna ya Kununua tiketi kwa njia ya N Card Tigo Pesa | Buy Tickets,N Card Tigo Pesa,mechi,Menu N Card Tigo pesa, Njia ya Kununua Tiketi za mpira Tigo Pesa,Kununua tiketi mechi za Ligi Kuu TPL 2023/2024
KITUO cha Taifa cha Kuhifadhi Data Mtandao (NIDC), kimezindua kadi ya malipo ambayo inaruhusu watu kulipia tiketi na bidhaa nchi nzima bila kubeba pesa nyingi.
Iliyopewa jina la N-Kadi, humpa mtu faraja kufanya miamala kwa urahisi popote bila kubeba pesa taslimu au kadi yako ya malipo, au hata kadi yako ya mkopo.
Lengo la serikali ni kuonyesha jinsi teknolojia inavyoweza kuleta mapinduzi katika shughuli za kila siku za maisha ya watu, ndiyo maana tulikuja na kadi hii, na mipango inaendelea ya kuunganisha mfumo huu na mifumo mingine ya malipo nchini.
N-Kadi ni rahisi, inaweza kutumika kufanya malipo kwenye huduma zote za kijamii na mahali popote, kadi zetu hazina mapungufu, tofauti na kadi zingine zinazopatikana sokoni.
- Jinsi ya kulipia kadi ya CCM ada za uwanachama
- Jinsi ya kulipia vifurushi vya DSTV 2024 | Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money
- Bei ya ving’amuzi vya DSTV 2024
- Bei ya ving’amuzi vya Azam TV 2024
- Jinsi ya kujiunga na UTT AMIS
- Bei ya vipande vya UTT AMIS 2024
- Jinsi ya kulipia Vifurushi vya StarTimes kwa siku
- Jinsi ya kujiunga na vifurushi vya Startimes
Jinsi ya kununua tiketi kwa N-Card M-Pesa & Airtelmoney
See also:
- Jinsi ya kununua tiketi kwa N-Card Tigo Pesa
- Bei ya Vifurushi vya Startimes kwa Wiki
- Bei ya Vifurushi vya Startimes 2024
- Bei ya vifurushi vya DSTV Tanzania 2024
- Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Azam TV
- Bei ya Vifurushi vya Azam TV vya Wiki
- Bei ya Vifurushi vya Azam Antena
- Bei ya Vifurushi vya Azam TV 2024
- Bei ya Leseni ya Biashara Tanzania 2024
- Bei Mpya ya Mafuta Petroli, Dizeli na Mafuta ya taa
- Bei ya Madini ya Almasi Tanzania
Leave a Reply