Jinsi ya kupata namba ya NIDA kwa haraka

NIDA ID Number (NIN)

Jinsi ya kupata namba ya NIDA kwa haraka, Jinsi ya kujua namba ya NIDA | www.nida.go.tz id number – Fahamu Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN) kwa kutuma sms kwenda kwenye “Short Code” Na. 15096 bila kutozwa gharama yoyote. Huduma hii imeboreshwa zaidi ni mbadala wa iliyokuwepo awali ya USSD *150*00…….. ambayo kwa sasa haitumiki. Karibu ufurahie huduma zetu.

Jaza taarifa zako kwa usahihi ili kufahamu namba yako ya Utambulisho (Namba ya NIDA)

    

Jinsi ya kupata namba ya NIDA kwa haraka

Jinsi ya kupata namba ya NIDA kwa haraka