JKT Selection 2024, Majina ya waliochaguliwa JKT

JKT Selection 2024, Majina ya waliochaguliwa JKT | Waliochaguliwa JKT 2024 watakiwa kuripoti haraka na mapema, Vijana Waliohitimu Kidato cha Sita 2024 Wakitakiwa Kuripoti Mara Moja Makambi ya JKT: Brigedia Jenerali Hassan Mabena

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewataka vijana wote waliohitimu kidato cha sita mwaka 2024 na ambao walitakiwa kuripoti makambini kwa ajili ya mafunzo ya lazima kwa mujibu wa sheria kuanzia Juni 1 hadi Juni 7, 2024, lakini bado hawajaripoti, kuhakikisha wanaripoti mara moja kwenye makambi waliyopangiwa wakiwa na vifaa vilivyoainishwa na JKT.

Maelekezo haya yametolewa na Brigedia Jenerali Hassan Mabena, Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Juni 22, 2024, wakati akitoa taarifa ya nyongeza kwa vijana waliohitimu kidato cha sita mwaka huu kujiunga na mafunzo hayo muhimu. Brigedia Jenerali Mabena amesisitiza kuwa vijana hao wanatakiwa kuripoti kwenye makambi yaliyo karibu nao kuanzia leo Juni 22 hadi Juni 26, 2024.

JKT Selection 2024, Majina ya waliochaguliwa JKT
JKT Selection 2024, Majina ya waliochaguliwa JKT

JKT Selection 2024, Majina ya waliochaguliwa JKT

Jeshi la Kujenga Taifa ni taasisi ya kijamii inayolenga kuwafunza vijana stadi mbalimbali za maisha, kazi, na uzalendo. Mafunzo haya ni ya lazima kwa mujibu wa sheria, na yana lengo la kuwaandaa vijana kuwa raia wema, wenye uwezo wa kuchangia kikamilifu katika maendeleo ya taifa. Vijana watapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali yakiwemo stadi za kijeshi, uongozi, na utaalamu wa kazi.

Jeshi la kujenga Taifa(JKT) limekuwa linapokea na kuendesha Mafunzo yahusuyo Ulinzi wa Taifa, uzalendo, Ujasiliamali, Ujasili (kupitia mafunzo ya Kilimo, Ufugaji na Biashara) kwa nyakati tofauti tofauti kadri ya maelekezo kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

KWA AWAMU YA PILI

JKT Selection 2024, Majina ya waliochaguliwa JKT
JKT Selection 2024, Majina ya waliochaguliwa JKT

Jaza Taarifa Zako kwa Usahihi ili Kujua Kambi Uliyopangiwa