Kikosi cha Fountain Gate Msimu wa 2024/2025

Kikosi cha Fountain Gate Msimu wa 2024/2025 | Kikosi cha Fountain Gate ambayo zaman ni Singida Big Stars kabla hapo iliitwa Singida Fountain Gates.

Baada ya kuwa na msimu usiomzuri mwaka jana sasa uongozi wa Singida Fountain Gate umeamua kuboresha kikosi kwa kuingiza wachezaji wenye umri mdogo na ongezeko la wachezaji wenye uzoefu wa michano ya Tanzania.

Sasa Fountain Gate inaweza kujinasibu kuwa moja ya klabu yenye vipaji vingi na inaweza kugombania ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2024/2025. Na hii ni kutokana na kikosi chao kusheheni wachezaji wa maana kabisa.

Kikosi cha Fountain Gate Msimu wa 2024/2025

Kikosi cha Fountain Gate Msimu wa 2024/2025
Kikosi cha Fountain Gate Msimu wa 2024/2025

3 Amos Kadikilo
4 Laurian Makame
7 Dickson Ambundo
8 Kassim Suleiman
10 Salum Kihimbwa
11 William Edger
13 Abdallah Kulandana
15 Kelvin Sabato
18 Fadhil Kusunga
19 Anack Joseph
21 Amos Nada
22 Sadick Ramadhani
23 Aron Lulambo
24 Seleman Bakari
25 Yesaya Mwamwenda
27 Joram Mgeveke
31 Zam Elias
36 Arafati Masoud
53 Enrick Nkosi
60 Seleman Mwalimu

ANGALIA PIA: