KIKOSI cha KenGold FC msimu wa 2024/2025

KIKOSI cha KenGold FC msimu wa 2024/2025, Kengold FC kutoka Mbeya ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara 2023/2024 (NBC Championship) na sasa imepanda daraja na kua miongoni mwa washiriki wa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025. Hapa chini tumekuletea orodha kamili wa wachezaji wote wanaounda Kikosi cha Kengold 2024/2025 (Wachezaji wote wa KenGold FC)

KIKOSI cha KenGold FC msimu wa 2024/2025

Hiki hapa kikosi cha KenGold kitakacho wakilisha klabu kwenye michuano mbalimbali ndani ya msimu wa 2024/2025 (Ligi kuu NBC Tanzania Bara, CRDB Kombe la shirikisho na mashindano mengine)

KIKOSI cha KenGold FC msimu wa 2024/2025
KIKOSI cha KenGold FC msimu wa 2024/2025

Makipa

  • Castor Muhagama
  • Mussa Mussa

Mabeki

  • Asanga Stalon
  • Amuken Lubinda
  • Tungu Robert
  • Steven Mganga
  • Castor Costa
  • Makenzi Kapinga
  • Charles Masai
  • Salum Iddrisa
  • Bilal Amin
  • Ambukise Mwaipopo
  • Martin Kazila

Viungo

  • Masoud Cabaye
  • Hamad Nassoro
  • Said Mandazi
  • George Sangija
  • Amir Njeru

Washambuliaji

  • Adam Uled
  • Emmanuel Mpuka
  • Mshamu Daud
  • James Msuva
  • Salum Chobwedo
  • Hija Ugando
  • Poul Materazi
  • Herbert Lukindo
  • Kelvin Nurki
  • Joshua Ibrahim

Benchi La Ufundi

  • Fikiri Elias – Head Coach
  • Luhaga Makunja – Asst Coach
  • Jumanne Charles – Asst Coach
  • Aswile Asukile – Goalkeeper Coach
  • Nuhu Mkolekwa – Team Manager
  • Stanley Ndimwene – Team Doctor
  • Latifu Masesa – Kit Manager

PENDEKEZO: