Kikosi cha Namungo FC 2024/2025 Full Squad List | Kikosi kitakacho iwakilisha kalbu ya ‘Wauwaji wa Kusini’ Namungo FC kwenye mashindano yote msimu huu wa 2024/25 Tanzania.
Klabu ya Namungo imekuwa ikifanya vyema sasa tangu ilipopanda daraja, ila haijwa na misho mzuri kwenye Ligi Kuu Tanzania kwa mismu miwili mfululizo saivi, tangu mara ya mwisho kufanya vyema kwenye ligi kuu msimu wa 2021/22.
Kwa msimu huu uongozi umeweka wazi kabisa malengo yao msimu huu ni kufanya vyema na ikiwezekana kurudi kwenye orodha ya timu zitakazo iwakilisha vyema Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa hivyo basi imefanya sajili za maana kabisa kuelekea msimu mpya wa Ligi.
Kikosi cha Namungo FC 2024/2025 Full Squad List
Kifuatacho ni kikosi cha wachezaji wa Namungo FC watakao ipambambania klabu kwa msimu huu wa 2024-25 Tanzania Bara.
- 3 Pius Buswita
- 4 Amande Momande
- 7 Hashimu Manyanya
- 8 Moubarack Amza
- 10 Emmanuel Ahsante
- 12 Hamis Halifa Nyenye
- 13 Jonathan Nahimana
- 14 Ibrahim Ali
- 16 Lenny Kissu
- 17 Hassan Kabunda
- 15 Anthony Mlingo
- 18 Erasto Nyoni
- 19 Ritch Nkoli
- 21 Djuma Shabani
- 22 Raphael Daudi
- 24 Jacob Masawe
- 29 Fabrice Ngoy
- 36 Jafari Kibailo
- 48 Erick Molongi
- 60 Frank Domayo
- 62 Hussein Mohamed
ANGALIA PIA:
- Kikosi cha Coastal Union FC 2024/2025 Full Squad List
- Singida Black Stars Waibuka na Ushindi, Keyekeh Aweka Rekodi Bao la Mapema
- Uwanja Utakaochezwa Fainali Ligi ya Mabingwa ya UEFA 2024/25
- Ratiba ya Ligi ya Mabingwa UEFA 2024/2025 Kwa Kila Timu
- Kamati ya Utendaji ya CAF yaidhinisha Tarehe ya CHAN 2024
- Taarifa Muhimu Kwa Walioomba Ajira za Walimu 2024 Ajira Portal
Leave a Reply