Kikosi cha Simba kilichoenda Misri Leo

Kikosi cha Simba kinachosafiri kwenda Misri, Kikosi cha Simba kilichoenda Misri Leo. Kikosi cha Simba kimesafiri leo kuelekea Misri kwa ajili ya mchezo wa marudia wa hatua ya robo fainali dhidi ya Al-Ahly ambapo utachezwa ijumaa hii ya tarehe 05 Aprili.

Itakumbekwa Simba kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa uwanja wa Benjamini Mkapa Dar es Salaam walipoteza kwa goli 1-0. Hivyo wachezaji na benchi la ufundi wamehaidi kuyafanyia marekebisho makosa yao na kuibuka na ushindi ugenini.

Kikosi cha Simba kilichoenda Misri Leo

Kikosi cha Simba kilichoenda Misri Leo

See also: