Kikosi cha Simba kilichosafiri kwenda Libya

Kikosi cha Simba kilichosafiri kwenda Libya | Kikosi kamili cha Simba SC kimesafiri kwa ajili ya mechi muhimu, kikijumuisha wachezaji 22 walioteuliwa kuwakilisha timu hiyo. Kikosi hiki kinajumuisha makipa watatu, walinzi kumi, viungo tisa, na washambuliaji watatu, kikiwa tayari kwa changamoto za mbele.

Kikosi cha Simba kilichosafiri kwenda Libya

Hiki hapa Kikosi kamili ambacho kimesafiri

Makipa

1. Aishi Manula
2. Moussa Camara
3. Ally Salim

Walinzi

4. Shomari Kapombe
5. Kelvin Kijiri
6. Mohamed Hussein
7. Valentin Nouma
8. Che Malone Fondoh
9. Karaboue Chamou
10. Abdurazack Hamza

Viungo

11. Augustine Okejepha
12. Debora Fernandes
13. Awesu Awesu
14. Yusuph Kagoma
15. Joshua Mutale
16. Edwin Balua
17. Fabrice Ngoma
18. Jean Chalres Ahoua
19. Kibu Denis

Kikosi cha Simba kilichosafiri kwenda Libya
Kikosi cha Simba kilichosafiri kwenda Libya

Washambuliaji

20. Steven Mukwala
21. Leonel Ateba
22. Valentino Mashaka

ANGALIA HII: