Kikosi cha Yanga dhidi ya CBE 14/09/2024

Kikosi cha Yanga dhidi ya CBE 14/09/2024 | Kikosi cha Yanga kinachoaza dhidi ya CBE kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Leo.

Kuelekea mchezo wa kufuzu hatua ya makundi ambao utakuwa wa mkondo wa kwanza kwenye hatua ya awali ya mtoano utakaochezwa kwenye uwanja wa Abebe Bikila nchini Ethiopia. Mchezo huu utatoa taswira ya klabu zote mbili kuelekea hatua ya makundi kwenye klabu bingwa (Champions League 2024/25).

Klabu ya Yanga imedhamiria kufanya makubwa sana msimu huu kwenye klabu bingwa msimu huu. Na ratiba ya mambo yote hayo inaazia kwenye mchezo wao waugenini dhidi ya CBE. Ambapo Yanga imedhamiria kumaliza mchezo na kufuzu kwenye mchezo wa kwanza kabla ya marudiano wiki ijayo.

Kikosi cha Yanga kipo fiti kukabiliana na CBE, huku kikiwa na matumaini sana kulingana na matokeo yao ya hivi karibuni ambapo wamefanikiwa kushinda michezo yapo mitano ya mwisho.

Kikosi cha Yanga dhidi ya CBE 14/09/2024

Kikosi cha Yanga dhidi ya CBE 14/09/2024
Kikosi cha Yanga dhidi ya CBE 14/09/2024

Hiki ndio kikosi cha Yanga kinachoanza kwenye mchezo wa kwanza wa kusaka nafasi ya kufuzu makundi Klabu Bingwa Afrika msimu huu, kikosi ni kizuri na kilichosheheni wachezaji hatari zaidi. Kikosi ni kama ifuatavyo hapo chini:-

  • Diarra
  • Kibwana
  • Boka
  • Bacca
  • Mwamnyeto
  • Aucho
  • Mudathiru
  • Chama JR
  • Aziz Ki
  • Maxi
  • Dube

ANGALIA PIA: