Kikosi cha Yanga vs Dodoma Leo 10 April 2024

Kikosi cha Yanga vs Dodoma Leo 10 April 2024, Kikosi Cha yanga vs Dodoma Jiji fc April 10-2024, Kikosi Cha yanga kinachoanza dhidi ya Dodoma Jiji April 10-2024, yanga vs Dodoma Jiji FC lineups, Yanga vs Dodoma Jiji hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup, Young Africans vs Dodoma Jiji.

MABINGWA watetezi, Yanga SC wamewasili jioni ya leo Jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC keshokutwa kuanzia Saa 2:00 usiku Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Ikumbukwe Simba SC wamewasili Kigoma mapema leo tayari kwa mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la TFF dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC kesho kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Lake Tanganyika.

Tayari timu sita zimekwishatinga Robo Fainali ambazo ni Azam FC, Singida Black Stars, zamani Ihefu SC, Coastal Union, Namungo FC, Geita Gold na Tabora United.

Kikosi cha Yanga vs Dodoma Leo 10 April 2024

Kikosi cha Yanga vs Dodoma Leo 10 April 2024

YANGA LINEUP

Hiki hapa Kikosi cha Yanga vs Dodoma Leo 10 April 2024 kwenye mchezo wa CRDB Federation Cup (ASFC) hatua ya 16 Bora:-

  • Diarra
  • Bacca
  • Kibabage
  • Mwamnyeto
  • Gift
  • Sureboy
  • Maxi
  • Okrah
  • Aziz KI
  • Mzize
  • Mudathir

See also: