Kikosi cha Yanga vs Singida Black Stars Leo Oktoba 30, 2024 | Kikosi cha Yanga kitakacho cheza leo dhidi ya Singida Black stars Leo kwenye NBC.
Leo Timu ya Yanga itakuwa uwanjani kucheza mchezo wa NBC ukiwa ni mchezo wao wa nane wa ligi dhidi ya Singida Black Stars ambapo mchezo utachezwa kwenye uwanja wa New Aman Complex, wakati Singida Black Stars wakiwa wenyeji wa mchezo huo.
Kuelekea mchezo huo jana Kocha wa Singida Black Stars, Patrick Aussems anaeleza walivyojipanga kuikabili Yanga kwenye mchezo wa kesho huku kiungo Zawdi Mauya akisema:- “…hatuteteleki kwa lolote, na hapo tulipo hatujabahatisha”.
Kikosi cha Yanga vs Singida Black Stars Leo Oktoba 30, 2024
YANGA XI:
- Diarra
- Nkane
- Boka
- Mwamnyeto©
- Job
- Abuya
- Aucho
- Chama JR
- Aziz Ki
- Pacome
- Dube
SINGIDA BS XI:
- Metacha
- Kennedy©
- Habibu
- Mwenda
- Tchakei
- Imoro
- TRA
- Koffi
- Camara
- Rupia
- Bada
ANGALIA PIA:
Leave a Reply