Makundi ya CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Confederation Cup Groups

Makundi ya CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Confederation Cup Groups | Shirikisho la mpira wa miguu Barani Afrika (CAF), limetangaza rasmi makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kwa msimu wa 2024/2025, baada ya droo iliyofanyika jijini Cairo, Misri. Droo hii iliyosubiriwa kwa hamu kubwa imepangilia timu 16 katika makundi manne, ambapo kila kundi lina timu nne zitakazochuana vikali kuwania nafasi ya kuingia hatua ya robo fainali.

Msimu huu unatarajiwa kuwa wenye ushindani mkubwa, huku timu kubwa na zenye uzoefu kama Zamalek SC ya Misri, Simba Sc ya Tanzania, ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Stellenbosch kutoka Afrika Kusini na nyingine nyine zikiwa zimepangwa katika makundi tofauti. Mashabiki wa soka barani Afrika wanatarajia kushuhudia mechi kali zenye ushindani wa hali ya juu na kandanda safi la kuvutia, huku kila timu ikipambana kuonyesha ubora wake na kutafuta tiketi ya kuendelea katika michuano hii mikubwa.

Makundi ya CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Confederation Cup Groups

Haya hapa makundi ya komve la shirikisho Afrika CAF kwa msimu wa 2024/2025:-

Makundi ya CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Confederation Cup Groups
Makundi ya CAF Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Confederation Cup Groups

Kundi A

  • Simba SC (Tanzania)
  • CS Sfaxien (Tunisia)
  • CS Constantine (Algeria)
  • FC Bravos do Maquis (Angola)

Kundi B

  • RS Berkane (Morocco)
  • Stade Malien (Mali)
  • Stellenbosch FC (South Africa)
  • CD Lunda-Sul (Angola)

Kundi C

  • USM Alger (Algeria)
  • ASEC Mimosas (Ivory Coast)
  • ASC Jaraaf (Senegal)
  • Orapa United (Botswana)

Kundi D

  • Zamalek SC (Egypt)
  • Al Masry SC (Egypt)
  • Enyimba FC (Nigeria)
  • A. Black Bulls (Mozambique)

ANGALIA PIA: