Mchungaji Dkt. Msigwa kahamia CCM na Kutambulishwa leo

Mchungaji Dkt. Msigwa kahamia CCM na Kutambulishwa leo, KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA Kimtambulisha Mchungaji Dkt. Msigwa Kama Mwanachama Mpya

Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo chini ya uongozi wa mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kimemtambulisha rasmi Mchungaji Dkt. Msigwa kuwa mwanachama mpya wa chama hicho. Mkutano huo muhimu umefanyika kwa mafanikio, ukihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama na wadau wa kisiasa.

Dkt. Msigwa, ambaye ni mchungaji na mwanazuoni, amejiunga na CCM akileta uzoefu na mtazamo mpya ndani ya chama. Ujio wake unatarajiwa kuimarisha zaidi chama kwa kutoa mchango wake katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uongozi. Uamuzi wa kumkaribisha Dkt. Msigwa unadhihirisha nia ya CCM ya kuendelea kujijenga na kuleta mabadiliko chanya kwa manufaa ya taifa zima.

Mchungaji Dkt. Msigwa kahamia CCM na Kutambulishwa leo
Mchungaji Dkt. Msigwa kahamia CCM na Kutambulishwa leo

Mchungaji Dkt. Msigwa kahamia CCM na Kutambulishwa leo

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutambulishwa katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC).

Mchungaji Msigwa aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, akitambulishwa leo Jumapili Juni 30, 2024 katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, kikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi ndiye aliyemshika mkono Mchungaji Msigwa na kuingia ndani ya ukumbi waliokuwepo wajumbe wa NEC.

SEE ALSO: