Mechi ya SIMBA na Yanga Kuchezwa tarehe 20 Mwezi huu

Mechi ya SIMBA na Yanga Kuchezwa tarehe 20 Mwezi huu, BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza tarehe ya mchezo wa Young Africans dhidi ya Simba, maarufu kama “Kariakoo Derby”. Mchezo huo, ambao awali haukupangiwa tarehe, utachezwa Aprili 20, 2024, saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mechi ya mzunguko wa kwanza Simba SC alipigwa bao 5-1 dhidi ya watani zao Yanga SC.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza ratiba ya mchezo wa #DerbyYaKariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC, ambapo sasa kupigwa Aprili 20, 2024 katika dimba la Benjamin Mkapa.

Kwa mujibu wa taarifa ya TPLB, mchezo huo utaanza saa 11:00 jioni na tayari klabu zote mbili zimeshapewa taarifa ili kuanza maandalizi.

Mechi ya SIMBA na Yanga Kuchezwa tarehe 20 Mwezi huu

Mechi ya SIMBA na Yanga Kuchezwa tarehe 20 Mwezi huu
Mechi ya SIMBA na Yanga Kuchezwa tarehe 20 Mwezi huu

See also: